Ujumbe ukufikie popote ulipo, waliolala makaburini hawakujitakia, ni mapenzi ya Mungu, kitendo ulichofanya Kola makaburini leo tarehe 19.4.2022 saa 12:26 jioni siyo cha uungwana.
Umesimamisha gari lenye namba tajwa na kuchepuka kukojoa kwenye eneo la makaburi bila hata haya, tumekupiga picha...