Wafanyabiashara na matajiri wa Arusha wamekuwa na ari na ubunifu mkubwa ila mara nyingi wamekosa sapoti ya Serikali. Landrover Festivals zilizofanyika hivi majuzi ni moja ya bunifu nyingi za watu wa Arusha na Moshi ambazo kwa muda mrefu zimekosa kuungwa mkono kwasababu za kisiasa.
Wanasiasa...
Tamasha la Land Rover limefanyika kwa mara ya kwanza nchini Tanzania mkoani Arusha leo 12 Oktoba 2024.
Arusha ni kitovu cha utalii Afrika Mashariki zaidi ya magari 1,000 ya Land Rover yamehudhuria tamasha hilo, huku zaidi ya watu 2,000 wakikuhudhuria ufunguzi na kushiriki tukio hilo.
Guinness...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha kupitia kikosi cha Usalama Barabarani wametaja barabara zitakazotumika katika tamasha la Landrover litakaloanza kuanzia Oktoba 12, 2024 Mkoani Arusha huku likisema limejipanga vyema kuhakikisha linafanyika kwa amani na utulivu.
Akitaja njia hizo Mkuu wa Kikosi cha...
Let us all stay tuned!
Arusha Region is an iconic Tanzania Tourist attraction City in Africa which is located about 350 kilometers to The famous Serengeti National Park.
The Regional Authority Under Paul Makonda has organized a tremendous and spectacular brand of Land Rover caravan ..a parade...
Nina anzisha huu maalumu kwa mtu yoyote anayetafuta vitu kutoka UK. Hasa magari makubwa(HGVs), heavy equipment, agricultural equipment na magari madogo kama Range Rover, for a reasonable price but good condition.
Nina heshimu siri za mteja(customer confidentiality)
Contact: WhatsApp +44...
Salaam Wadau,
Kama kichwa kinavyojieleza, kumekuwa na mfululizo wa hayo Magari kwa hapa Bongo(TZ) kuteketea kwa Moto(Kuungua). Tatizo ni nini? Binafsi nimepoteza sana Mvuto na hayo Magari.
Wataalam kina JituMirabaMinne toeni maoni.
Bila Catalytic Converter kuna sumu zinazotoka kwenye moshi ambazo zitakuwa zinaingia kwenye hewa.
Sumu hizo hazifanani kulingana na aina ya engine,
Engine za petrol hutoa Hydrocarbons, Carbon monoxide pamoja na Oxygen gas.
Engine za Diesel hutoa NOX, Oxygen gas pamoja na Carbon dioxide...
Nipo tayari kuitwa mshamba, nimezaliwa nimeikuta landrover 09 na hadi Leo IPO kule kijijini, lakini landrover discovery, defender ni mbovu sana trip pori trip gereji wapi watengenezaji wanakosea sasa, kifupi napenda brand najiona kutafta rover 09 tena siku za usoni, wapi ntakuwa nimekosea
Naihusudu sana Discovery 4 angalau kwa muonekano na chapa yake ya Land Rover, japo nikiri sijawahi kuiendesha hivyo siijui kivile.
Kama walivyo watu wengi wa ukanda wa Afrika Mashariki, tumekuwa tuikitumia magari ya mjapani haswa haya yaliochini ya kampuni iliyoanzishwa na Bwana Kiichiro...
Nanunua landrover TDI za zamani hata Namba A ,Burget yangu Tshs 1.5 - 4 milion integemeana na hali ya gari husika ,iwe tu inatembea mengine INBOX
Asante
Wakuu, salaam!!!..
Ninahitaji engine ya Landrover 110 - 300 Series.
Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790
Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni Millioni moja na nusu (1,500,000/=)
Shukrani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.