langa

  1. Miguel Alvarez

    Ni Wangapi walishaisikia hii Song: Fikra potofu Langa ft Salu T

    Huu ni wimbo ambao Marehemu LANGA aliifanya kipindi cha mwisho wa uhai wake Lakini haikuweza kutoka rasmi kwa mara ya kwanza niliusikia siku ya msiba wake pale kwao mikocheni Leo kwa mara nyingine nimeweza kupata tena nimefarijika mno maana ni wimbo nilioutafuta kwa muda mrefu Nikaona sio...
  2. Lethergo

    Matukio ya kukumbukwa mwaka 2004

    Huu uzi unahusu matukio yoyote yaliyotokea mwaka 2004, basi na wewe mwanajukwaa andika hapa tukio lolote lililotokea mwaka 2004. Mimi nitaanza na tukio la shindano la kutafuta vipaji vya waimbaji mwaka 2004 lililotambulika km East Afrika Coca Cola Pop Stars Talent Search Competition, ili ni...
Back
Top Bottom