Bus la wachezaji wa Dodoma Jiji FC limepata ajali likiwa njiani kutoka Mkoani Lindi kuelekea Jijini Dodoma, ajali imetokea katika eneo la kati ya Nangurukuru na Somanga wakati linatokea Ruangwa, Lindi walipocheza jana dhidi ya Namungo FC, kuna wachezaji wamejeruhiwa...