laporomoka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Daraja laporomoka waheshimiwa wakikata utepe kulifungua

    Wakati nikitafakari viongozi wa kiafrika dhidi ya miradi inayowahusu wananchi wa kawaida huko mtaani, kwa mfano miradi kwa sehemu mbalimbali huko mikoani, utasikia choo au bafu limetumia 230 milions. Hapa kwenye kipande hiki cha sinema hii nimeshangaa wanawahi kumuokoa huyo mama na hata baada...
  2. Jengo laporomoka huko Kisumu

    Jengo lingine lililokuwa linajengwa limeporomoka leo na kujeruhi watu kadhaa huko Mamboleo, Kisumu. Ufisadi na janjajanja vitawamaliza hawa nyang'au, yaani sasa imekuwa kama fasheni. Building under construction collapses in Kisumu. Nyanza By Harold Odhiambo A two-storey building under...
  3. Jengo laporomoka Uganda na kuua na kujeruhi watu wengi

    Watu wasiopungua 6 wamethibitishwa kupoteza maisha na wengine wengi wanaaminika bado wako chini ya kifusi baada ya jengo moja lililokuwa linajengwa kuporomoka huko Kisenyi nchini Uganda. Salim Uhuru, mkuu wa timu ya uokoaji amesema kuwa, miili ya watu sita imetolewa kwenye kifusi na kupelekwa...
  4. Jengo laporomoka na kuua watu watatu

    Kama ilivyo kawaida, kwa mara nyingine tena jengo lamoromoka kenya na kuua watatu. Majirani, mtaacha mpaka wafe wangapi ndiyo mdhibiti majanga haya? Wanasema hilo jengo ni jipya kabisa. Tangu liishe halina hata mwezi mmoja. Swali langu, kwa mara nyingine, hali hii itasubiriwa mpaka iue...
  5. Jengo la ghorofa 5 laporomoka leo Kiambu

    Jengo lingine la ghorofa 5 laporomoka huko Kiambu. Majirani poleni na muongeze juhudi kusimamia ubora wa majengo kuepusha vifo. Source: https://www.the-star.co.ke/news/2021-08-30-five-storey-building-collapses-in-gachie/
  6. Daraja chini ya ujenzi laporomoka huko Kenya

    Daraja "flyover" chini ya ujenzi huko Kangemi, Nairobi Kenya limeporomoka mida hii. Watu wanne wameokolewa wakiwa na maumivu makali huku wengine wakihofiwa kufunikwa na kifusi. Chanzo: kenyans.co.ke
  7. U

    Jengo la Bunge Kaunti ya Nyamira laporomoka

    Taarifa mbaya kutokea Kenya Jengo la Bunge la Kaunti ya Nyamira lilojengwa kwa thamani ya Milioni 379 za Kenya limeporomoka mapema leo Kazi ya uokozi inaendelea na hadi sasa watu 8 wamepata majeraha makubwa Thamani ya fedha ya ujenzi ni Billion 7,959,000,000 za Tanzania ======= At...
  8. Govt orders 3 towers razed in the wake of Friday building collapse

    By Elisha Magolanga Dar es Salaam As the death toll occasioned by the collapse last Friday of a high-rise building along Indira Gandhi Street in Dar es Salaam reached 25 by mid-day yesterday, the government ordered a demolition of three structures close to the ill-fated one over safety...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…