Hivi hakuna uwezekano wao wakenya tubadilishane watupe msanii wao masauti..
Sisi tuwape lavalava,hamisa,harmorapa,
Maana sioni wanachokiimba..
Huyu masauti ukimsikiliza anasound kama mbongo yaani ni bongo flava yetu kabisa ukiskliza ngoma zake kiboko,ipepete ,deka,burudani..
Unabaki kushangaa...