Nimeona mada za kuchambua taarifa ya kufeli kwa wanafunzi Law School of Tanzania.
Binafsi na mimi nimepitia Law School, na haya ndiyo ninayoyafahamu kuhusiana na hiki chuo.
1. Law School kiuhalisia, siyo sehemu ya mafunzo kwa vitendo kama mnavyosikia redioni.
2. Somo la field lipo, ila marks...