Habari za muda huu wanaJF? Natumaini mnaendelea vizuri.
Huwa kuna malalamiko, wananchi kuilaumu serikali miundo mbinu na huduma ni mbovu. Hata mimi ni mmoja wapo kwa baadhi ya mambo lakini jinsi yalivyo off key. Ila mimi ni kwa wahudumu. Kiufupi ni kuwa, baadhi ya watoa huduma hawana ueledi...