Usinchoshe na nsikuchoshe,Tusichoshane!
Hivi huyu Beki anayeitwa "KISIKI CHA MPINGO" mliyemnunua kutoka huko kwa Ndugu zenu ndiye mnayemtegemea amkabe PACOME au labda kuna mwingine tuendelee kusubiri?
Pale mbele kuna Dubwana liitwalo DUBE
Kuna mpiga zeze na Marimba aitwaye ZENGELI,huyu yeye...