Siandiki masimango! Sio hulka yangu... Hadhira hushangilia anguko la mtu kuliko mafanikio yake.... Washindwa wengi ndio huwa wa kwanza kunyoosha vidole vya lawama, kejeli, matusi, dharau nknk... Utawasikia wakisema kiko wapi sasa.... Hii ndio hulka za washindwa, wale wenye roho za kwanini...