Habari wakuu, naombeni uzoefu wenu hasa kwenye sekta hii ya kuku wa mayai. Binafsi nimewahi kufuga kuku wa kienyeji, chotara, na broilers kwa uchache, ila kwa sasa nahitaji kufuga kuku wa mayai 600 hivyo ningependa kujua gharama zao hasa kwenye upande wa chakula, vifaranga na madawa tuu ukiacha...
Naombeni msaada kwa anayejua wapi nitapata machimbo ya chakula cha kuku chotara, kama uduvi, mahindi paraza, mashudu, pumba za mahindi nk kwa bei rahisi mkoani RUVUMA HASA KWA WILAYA YA MBINGA??
Habari wana jamvi, natumai mko salama kabisa. Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.
Vifaranga wanahitaji uangalizi mkubwa sana hasa katika hatua za mwanzo za ukuaji wao, na moja ya njia zinazoweza kuhakikisha usalama wa maisha yao kwanza wao kwa wao (yaani vifaranga) na usalama wa mayai hapo...
Habari wakuu,
Ninanunua kuku wa kienyeji, kuku wa kisasa(broiler), chotara na layers (waliomaliza kutaga au waliokomaa vizuri).
Hivyo naomba mwenye nao tuwasiliane au yoyote anaejua wapi wanapatikana pia tuwasiliane.
Niko Dodoma mjini.
Tuwasiliane 0759724391.
Habari?
Je Kati ya kampuni hizo naomba msaada ipi ni kampuni yenye vifaranga Bora vya kuku wanyama na mayai.
Nataraji kuingia kwenye iyo biashara hivi karibuni.
Asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.