RCRD LBL was a website for free, curated, and legal MP3 downloads from emergent artists.
RCRD LBL was launched in 2007 by Josh Deutsch, Peter Rojas and creative director Elliot Aronow, and featured thousands of free singles, remixes, exclusive tracks and rarities from a diverse, handpicked roster of artists. The site served up millions of downloads and plays per month.
As of November 2013, the site has been taken down and there have been no new posts on the site's Facebook or Twitter feeds since May 2013.
Tanzania njoo na akili yako tu pesa utazikuta nchini huu ni msemo wa wageni.
Baada ya kampuni ya ponzi pyramid kuwapiga Watanzania wamekuja kivingine wanajiita DBA, imeanza tarehe 7/3/2025 kwa usajili feki wa AI ikiwa na number za simu za UK.
Nadhani kosa lao kuu LBL na FIC hadi kustukiwa na...
Kwamba LBL ilikua inahamisha hizo Pesa?.
Kwamba hizo Pesa zipo kwenye akaunti za LBL lakini BRELA wameamua kuzifuta Kampuni hizo ,Ili Sasa wao ndio wazishikilie hizo Pesa?
Mbongo kwa ubunifu wa uharibifu au fursa humuwezi naona Pana platforms kibao wabongo wameanzisha zenye mfumo wa kuperform task za kuangalia video ili ulipwe kama ilivyokuwa lbl huku wakishawishiwa watu wajiunge.
Pigeni pesa at your own risk mwanzoni mwanzoni hela yako ikirudi achana nao na...
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imesema leseni ya kampuni iitwayo Kalynda E-Commerce Limited iliyotolewa Juni 21, 2022 ni kwa ajili ya uuzaji wa jumla wa vifaa vya kielektroniki na mawasiliano pamoja na ufanyaji wa biashara ya kiteknolojia ya kimataifa mtandaoni.
BRELA imesema...
Moja ya watu ambao ni wa kwanza kuifahamu LBL
Kupitia wao ni SOKOHURU
Kila kukicha alikuwa anaitangaza viongozi wa mikoani wengi wamekamatwa huyu jamaa mbona hakamatwi?
Licha ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa tangazo linaloeleza kuwa haihusiki na jambo lolote linalohusu Kampuni inayoitwa Leo Beneath London (LBL) ambayo inavyoonekana kilio chetu ni cha Watu wengi, lakini nimeamua kuandika hapa kwa kuwa najua kuna wenzetu ambao wana msongo wa mawazo...
Hawa watu ni wahuni wameshawapiga watz wanataka kusepa na pesa sasa.
Meneja wao huo hapa anaitwa Emily yupo Uingereza +44 7429 429168.
Ukiangalia list ya makampuni ya Uingereza hii kampuni haipo.
Ukiingia google ukasearch scarm company imo so iliwezekanaje hawa wahuni kupewa vibali vya kufanya...
Wadau wa JF, Salaam!
Hii dunia ni ya ajabu sana. Kuna jamaa anakuambia kuna mti fulani, ukiusogelea na kuuangalia tu kwa dakika chache, unanyesha noti. Wengine wanakuambia kama unataka utajiri, usihangaike sana—jiunge na jukwaa fulani, alika watu, angalia video kadhaa, fanya “tasks” rahisi, na...
Jeshi la polisi Mkoani Manyara linawashikilia watumiwa 10 kwa makosa mbalimbali ikiwemo utapeli Kwa kutumia kampuni ya kitapeli ijulikanayo kama Manyara LBL Company Limited inayotoa huduma za kuwekeza na kukopesha fedha kinyume cha sheria na kanuni za Benki Kuu ya Tanzania huku mmoja wa...
Pamoja na kuwalaghai wanachama wao kuwa wamewasilisha nyaraka zote BoT kwa uhakiki/ usajili . LBL mpaka sasa hawajafanya hivyo. Wanachama jiandaeni kisaikolojia jamaa wanawapuna kindezi dakika za jioooni kwa mgongo wa ku-upgrade
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limewakamata watu saba wanaodaiwa kuendesha biashara haramu ya fedha mtandaoni bila kibali cha Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Soma pia: Jeshi la polisi Mbeya limewakamata watu watano kwa kuhusika na mchezo wa upatu wa LBL
Watuhumiwa hao ni wawakilishi wa kampuni...
MBEYA: JESHI la Polisi mkoani Mbeya, linawashikilia watuhumiwa watano akiwemo Meneja wa Kampuni ya LBL Gerald Masanya ,31, kwa tuhuma za kujihusisha na biashara ya upatu mtandaoni bila kuwa na kibali chochote ambapo ni kinyume na taratibu za kisheria.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kaimu...
Niliandika hapa uzi mwezi 11 mwaka Jana 2024 nikiwajuza watu juu ya viashiria vya utapeli wa LBL watu wakanipurua kinyama nikaandika tena mwezi wa 1 mwaka huu 2025 kua watu watoe fedha zao Hilo Ponzi scheme linaenda kuanguka nikashambuliwa tena.
Haya sasa Kiko wapi ?! Hamuwezi tena kutoa fedha...
Kwanini watanzania wengi wanatapeliwa na Ponzi schemes kama LBL Tanzania?
Nini chanzo cha watu kutokupenda kufanya tafiti na kutafuta taarifa kabla ya kuinvest pesa.
Hakuna kampuni inayoitwa LBL Advertising Media LTD ambayo imesajiliwa Tanzania, ila kuna Kampuni yenye jina sawia imesajiliwa...
Kwanini watanzania wengi wanatapeliwa na Ponzi schemes kama LBL Tanzania?
Nini chanzo cha watu kutokupenda kufanya tafiti na kutafuta taarifa kabla ya kuinvest pesa.
Hakuna kampuni inayoitwa LBL Advertising Media LTD ambayo imesajiliwa Tanzania, ila kuna Kampuni yenye jina sawia imesajiliwa...
Nikampuni ambayo ukiweka pesa kidogo kuna pesa unalipwa mwaka mzima kilasiku. Kuna video ukazaa unatakiwa uzi view. Ila sijaielewa vizuri. Naomba maelezo kwa mwenye kuijua
angalizo
dhidi
hatua
hela
kampuni
kampuni ya lbl
kuhusu
kutapeliwa
lbl
mapema
matangazo
mbona
naomba
serikali
side hustle
utapeli mtandaoni
wajinga
wengine
wote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.