Kwema wakuu?
Kuna hili shindano la magari linalofanyika kila mwaka mwezi wa sita katika mji wa Le Mans, Ufaransa, linaitwa "24 Hours of Le Mans".
Hili shindano linakua nas magari sitini (60), ila yanagawanywa katika classes kama nne (4) hivi kutokana na performance, technology na aina ya gari...