Wakuu muziki unalipa na bwana Isaya Mtambo a.k.a Chino Kidd ameendelea kuyaishi matunda ya kazi hiyo.
Taza hilo licheni la bei mbaya alilomzawadia LeeMckrazy, msanii wa Afrika Kusini just for the love.
Video hii pia Chino ame-repost na kuandika;
"Asante kwa kuthamini kaka yangu LeeMckrazy...