Jumla ya watu 16003 wakazi wa vijiji 30 wilayani Rufiji mkoani Pwani wamenufaika na msaada wa kisheria bila malipo kupitia Kampeni ya Msaada wa Kisheria wa Mama Samia.
Hayo yamebainishwa na mratibu wa kampeni hiyo Wilayani humo Gloria Baltazari ambaye pia ni Wakili wa Serikali anayehudumu...
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Mashaka Gambo, amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuanzisha Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, akibainisha kuwa kampeni hiyo imekuwa msaada mkubwa kwa wananchi wa Arusha na maeneo mengine nchini.
Akizungumza Ijumaa, Machi 7, 2025, katika...
Mkuu wa Wilaya ya Longido, Salum Kalli, amewataka wakazi wa mkoa wa Arusha kuchangamkia fursa ya kipekee ya kupata msaada wa kisheria kupitia Mama Samia Legal Aid Campaign inayoendelea jijini Arusha.
Akizungumza alipotembelea mabanda ya huduma za kisheria katika viwanja vya TBA jijini Arusha...
Wizara ya Katiba na sheria imetuma Mawakili wa serikali takribani 50 ambao kwa siku nane mfululizo watakuwa Mkoani Arusha, kusikiliza na kutoa msaada wa kisheria kwa wananchi wa Mkoa huo kupitia kampeni ya Kitaifa ya msaada wa kisheria ya Mama Samia inayokwenda sambamba na maadhimisho ya siku ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.