legal aid geita

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Geita: Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia Legal Aid yawafikia Wananchi 161,154

    Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign) Mkoa wa Geita imewafikia Wananchi 161,154 ambapo kati ya hao wanaume ni 80,810 na wanawake ni 80,344. Kampeni hii inatoa msaada wa kisheria BURE huku elimu ya sheria imetolewa kwenye maswala ya ardhi,ndoa, mirathi, na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…