Mfahamu Mzee Small.
Said Wangamba (Mzee Small) alizaliwa 1955 mkoani Lindi. Na baadae alihamia Dar mwaka 1970 ambapo alipata umaarufu kupitia uchekeshaji na uigizaji.
Alipewa jina la utani la Mzee Small kutokana na mwili wake kuwa mdogo. Alipata umaarufu kupitia baadhi ya kazi zake kama vile...