Lissu na jeshi la makamanda wasioyumbishwa na yoyote Lema, Msigwa na Heche watakuwa jukwaa moja wakigaragaza waramba asali uko Singida.
Msigwa - amekataa rufaa uchaguzi uliojaa rushwa na uhuni uko Nyasa.
Heche - Kaenguliwa ujumbe kamati kuu
Lema - Kajitoa uchaguzi kumpisha kijana wa Mwenyekiti...