lemutuz

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. benzemah

    Rais Samia ahani msiba wa Lemutuz, afika kutoa pole kwa Waziri Mkuu Mstaafu Malecela

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemtembelea na kumfariji Waziri Mkuu mstaafu Mzee John Samwel Malecela kufuatia kifo cha mtoto wake Marehemu William Malecela (Lemutuz) kilichotokea hivi karibuni, alipofika nyumbani kwake mtaa wa Kilimani Mkoani Dodoma, tarehe...
  2. Naanto Mushi

    Nitawashangaa watoto wa Lemutuz wakigandana huko Marekani na kutelekeza mirathi ya baba yao

    Mi naona Lemutuz alikuwa mjasiriamali mpambanaji kwenye sekta ya social media na matangazo. Sekta ambayo kwa Tanzania na kwa ukubwa wake na mazingira ya matangazo mitandaoni, inaweza kuwa na potential ya kukuingizia sio chini ya free cash flow ya Tsh. 5 hadi Tsh. 6 million kwa mwezi ukiondoa...
  3. Ashampoo burning

    Watoto wa Lemutuz walikataa kumsamehe baba yao...

    Ukiangalia maisha ya le mutuz aliisha vile alivyotaka yeye aliishi kwa kuipa furaha ya moyo wake kwa gharama yeyote Jamaa alikuwa na nyumba nzuri tu Tabata lakini kamwe alikataa kukaa nje ya mji hata mimi ashampoo ni moja ya wadau ambao napenda kukaa Posta Jamaaa alikuwa na marafiki wengi...
  4. Twilumba

    TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

    Mmiliki wa 'Le Mutuz' Blog, na Mwanachama wa JamiiForums William Malecela, William J. Malecela maarufu kama Mr. Super Brands amefariki dunia leo Mei 14, 2023 jijini Dar es Salaam. Taarifa za awali zinaonesha marehemu amefia Hospitali ya Mnazi mmoja na Mwili umepelekwa Hospitali ya Taifa, Muhimbili.
  5. Dr am 4 real PhD

    Simulizi ya ubaharia wa Lemutuz_Superbrand

    ZE AKILI ZANGU ZA ASUBUHI LIVE U KNOW: ..Hii picha nilipiga loongtime ago in the 90s nikiwa Seamen au Baharia (Ass. Engineer) katika meli ya "MV. LUXEMBOURG" ya kampuni ya Celestie Belgique Maritime (CMB) Shirika la Meli la Taifa la Belgium lipo mjini Antwerpen ambako niliishi kwa Miaka 5 ya...
  6. O

    Mkuu Le Mutuz tajiri wa roho

    Mkuu, Lemutuz aisee mungu akuwekee sana msaada wako unaotoa kwa jamii hautaweza kusahaulika unafanya mambo makubwa sana kwenye japo watu wengi hawauoni au ni husuda za watu wenye vijiba vya roho tu. Lemutuz ni mtu poa sana inshort ni Tajiri wa roho ila dunia ilivyo mti wenye matunda hupigwa...
  7. Erythrocyte

    Paul Makonda na William Malecela waburuzwa kizimbani kwa tuhuma za kudhulumu gari

    Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na William Malecela maarufu Lemutuz wamefunguliwa kesi mahakamani kwa tuhuma za uporaji wa gari aina ya Range Rover. Makonda na Lemutuz wamefunguliwa kesi hiyo katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na mfanyabiashara Patrick Christopher...
  8. MSAGA SUMU

    Maisha ni safari ndefu, Lemutuz na GSM na urafiki wao wa zaidi ya miaka 40

    Hapa Lemutuz (wa pili kushoto) akiwa na rafiki yake mkubwa (wa kwanza) wakiwa bado vijana wadogo kabisa wakiwa wanaanza maisha miaka ya 80 na wakiwa hawana ukwasi mwingi kivile. Miaka kadhaa mbele vijana hao hao wawili wote wamekuwa wafanyabiashara wakubwa na mabilionea huku wakiwa na majina...
  9. LICHADI

    Leo hii Lemutuz ni wa kumchunia Makonda kweli?

    Enzi hizo Mako yupo kwenye kiti Lemutuz alikuwa mpambe haswaa walikuwa wanaitana marafiki wa kufa na kuzikana mtaani Lemutuz alikuwa anamuita mako Le commandant fidel Marshall [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] Ila tokea mako apigwe chini huezi amini Lemutuz alivyobadili gia...
  10. William J. Malecela

    Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

    EXTRA STRAIGHT TALK:- Unaporusha rusha maneno ya kichochezi kuhusu kushambuliwa kwa Mh. Tundu Lissu bakisha maneno na tafuta Facts kwanza .... Naomba nikukumbushe kwa FACTS: Mauaji ya Waisilamu Mwembe Chai mwezi Mei, mwaka 1998 - Rais hakuwa Magufuli! Wakati wafuasi wa CUF Pemba walipopigwa...
Back
Top Bottom