Mimi ni muislamu lakini nawashangaa baadhi ya waislamu wenzangu inapofika jioni mtu anakula kama mchwa, yaani kila kitu anataka akile, matokeo yake anashindwa hata kufanya ibada.hivi kweli kwa style hii lengo litafikiwa kweli? Au ndio watu wanapoteza muda.
MAKUSANYO ya maduhuli ya Serikali kupitia Sekta ya Madini katika Mkoa wa Shinyanga yatokanayo na mrabaha, tozo na ada mbalimbali kwa mwaka wa fedha ulioanza Julai 2024/ 2025 ni Shilingi Bilioni 21.5
Mkoa wa Shinyanga ulipangiwa kukusanya Shilingi Bilioni 26.2 ambapo mpaka mwishoni mwa mwezi...
Kwenye ufunguzi wa mkutano wa bunge la umma uliofanyika hapa Beijing, Waziri Mkuu wa China Bw. Li Qiang amewasilisha ripoti ya serikali inayokadiria ongezeko la uchumi wa China kwa mwaka huu kuwa asilimia 5. Makadirio hayo yamefikiwa kwa kuzingatia utulivu wa ndani, na maendeleo ya hali ya...
Najua kuna vijana wengi wana mawazo yao lakini changamoto huwa ni fedha.
Ningependa kujua ni wapi naweza kupata fursa ya kuweza kuhudhuria maonyesho ya projects zinazodeal na mambo ya computers, simu, apps, n.k.
Kwa sasa nipo Njombe, huku ni bila bila. sehemu ya karibu nayohisi kuna hayo mambo...
Ni wakati wa kuwakataa viongozi wa ccm kwa miaka 63 ya uhuru watanzania wametufanya kuwa wajinga huku wao na familia zao wakiishi maisha mazuri na yenye amani.
Viongozi wa ccm wamefikia hatua ya kuona bila kupigiwa kura wanaamini watakuwa viongozi
Tanzania ina madini lukuki maziwa na mito lakini...
Wadau hamjamboni nyote?
Nilikuwa naongea na Msabato mmoja rafiki yangu kuhusu Kanisa kuruhusu baadhi ya mafundisho au Imani zinazoenda kinyume na Biblia
Katika mazungumzo yetu nilimtajia mambo mawili tu ambayo yameruhusiwa Kanisani karibuni kuwa ni kuruhusu wachungaji wanawake , idara ya...
Kuna swali huwa linanizunguka kichwani hasa linaniambia lengo la kuja duniani nini?
Kwanini wengine duniani watajirike na wengine wawe masikini? Na kwanini wengine wamake Impact ila wengine wasimake impact?
Kwanini wagunduzi wengi wa Teknologia wengi ni ngozi nyeupe? Kwamba waAfrika wengi...
Ilifahamika na kuonekana bayana tangu mwanzo, kwamba kiongozi mpya wa chadema hana maono wala mipango madhubuti ya kuendesha chama kwa mipango mikakati maalumu ya kiuchumi na kujitegemea kama vyama vingine vya siasa,
Tazama sasa,
Maelezo marefu kwa muda mrefu kumbe dhumuni na agenda ilikua ni...
Uzalishaji wa zao la Pamba umeongezeka kutoka tani 350,000 mwaka 2020 hadi tani 632,510 mwaka 2024 sawa na asilimia 63.25 ya lengo la kuzalisha tani 1,000,000 ifikapo mwaka 2025 kama ambavyo ilani ya uchaguzi ya CCM ilivyoelekeza.
Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.
#samiaapp...
Nyie mademu wa jogging mtakuja mtuuwe jamani
Mnavaa vinguo vya kututega
Sisi wanaume marijali tulishiriki jogging na marathon zenu, tutatoka tumemaliza kila kitu
Tusiige wazungu
Mwanamke wa kizungu hata avae kichupi hawezi kumshawishi mwanaume kihisia, huku kwetu maumbo ya kibantu afu umevàa...
mambo vipi waungwana,
jamani mimi ni mwamba hapa 32 toka niwepo hapa duniani, napatikana pande za dar, mwajiriwa kwenye kampuni kubwa tu si haba kubadili mboga na hta kwenda kibaha kuulizia kiwanja sio issue kabisa,
mimi mwaka huu nataka nivute jiko maisha ya usela yanachosha ila sasa...
Dar es Salaam, 01 Januari, 2025:
Kwa niaba ya Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inautaarifu umma kuwa, katika kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2024/25 (Oktoba – Desemba 2024) imefanikiwa kukusanya kiasi cha Shilingi Trilioni 8.741, sawa na ufanisi...
Jamaa inaonekana bado hajaridhika kutimuliwa. Sasa anamsema kila mtumishi mwenzake maarufu wa Tanzania japo kwa mafumbo.
Anasema mzee wa ubungo ni tapeli wa kutupwa na ni mtu wa system.
Kuhani Moses wa temboni anadai amewahi kufukia jeneza uwanjani Mbagala akaweka alafa kwenye mkutano...
Mnafact ipi inayo wafanya kuwazuia wake zenu kufanya kazi au kufanya biashara wengine mme waachisha wake zenu kazi mliwakuta wameajiriwa lakini baada ya kuwaoa mmewapiga pini wasijushugulishe na kazi.
Mnaongeza idadi ya magoli kipa kuwa wengi mwisho wa siku mkija kufa mashemeji na mawifi ndio...
Happy Christmas
Nimeona tangazo hili azam tv kuwa kutakuwa na mdahalo wa maswali na majibu kuhusu Mohammed na Jesus
Nachojiuliza why waislamu wanapenda sana kuongelea mambo ambayo wao hawayaamini?
Mmeshawai sikia wakristo wameandaa matamasha au mdaharo kwa lengo la kupambanisha imani?
Kuna...
Wazee baada ya kudevela katika interview nyingi kwa uoga na presha sasa mwezi uliopita naweza kusema katika interview zote nilizowahi kuattend nakiri hii ya mwezi jana ilikuwa ndo ilikuwa the best performance i ever had kiasi cha kuwatisha wote waliokuwa wanauliza maswali unaona kabisa...
Wakuu Mimi Bado Kuna vitu Huwa najiuliza na mara zote sijawahi kupata majibu!
Hapa Duniani tuna dini aina tofauti tofauti na madhehebu Hali kadharika. Na dini zote/Imani zote na madhehebu yote Yana hubiri uzima wa milele baada ya kifo hii hata Mimi naamini kuwa Kuna maisha baada ya kifo/ufufuo...
Salamu Sio muhimu sanaaa soma hapa chini 👇
Biashara yenyewe ni hapa
Kuhudumia wateja wa mtandao wa YAS zamani Tigo ambao wanachukua huduma zao za kibiashara kutoka katika kitengo Cha Tigo business au almaarufu kama Mjasiriamali box
HUDUMA HIZO NI
Post Paid Bundles
5G...
ikitokea umekutana na mwanamke akakuvutia kwa mara ya kwanza na ukamtazama directly machoni/usoni.
Basi tambua ubongo wa huyo mwanamke unaanza kukudescribe papo kwa hapo kama unafaa kuwa nae au hufai, na baadae huyo mwanamke hukaa na kukufikiria kisha atajipa jibu yeye mwenyewe kama ni YES au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.