Wakuu, kimfaacho mtu chake. Nina hali mbaya kiuchumi aisee, nimeamua kuuza laptop yangu aina ya lenovo
RAM 8 GB
Storage 256 GB
Bei ni 550,000/=maongezi kidogo yapo.
Kwa mwenye kuihitaji anicheck inbox tu tuyajenge.
Wadau,, hivi kwa Dunia ya sasa,,je mtu anweza kununu Lenovo thinkPad X260 au unamshauri anunue laptop ipi inayoendena na heavy duty activities lakini inatunza charge kama Lenovo X260 Ram8GB?Naomba ushauri
Wakuu habari,
Ninaomba kujua Bei ya dukani kwa pc ya lenovo au dell.
Pia naomba kujua utofauti wa utendaji kazi wa aina hizi mbili za pc mfano kutunza betri na ubora kwa ujumla.
Kimsingi nahitaji kuelewa vitu vya msingi vya kuzingatia na kukagua wakati wa kununua pc hizi.
Natanguliza...
Lenovo XIIM 2-in-1 laptop slim and nice
Affordable 2-in-1 Tablet 10 windows tablet with detachable keyboard and hi-res display 11 Size
••Processor : Intel Atom X5 ••Generation: 6th
••RAM 4GB (DDR4)
••Storage: SSD 64GB. GB Extra
••Touch screen ✔️
Let your fingers do the talking
••Long...
Leo wakati naangalia mechi kati ya Aston villa na Chelsea, nikapata mihemko ya mpira nikadunda ngumi kitandani pembeni yangu, kumbe! nilikuwa nimeweka pc sikuiona, matokeo yake imevunjika screen ndani kwa ndani, rangi zimetawanyika, imepata kama kifafa hivi- maandishi yanacheza cheza.
Wapi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.