Wakili Leonard Manyama amesema Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni msingi muhimu wa amani na utulivu wa taifa. Ameyasema hayo Oktoba 10, 2026, katika mdahalo wa Wanasheria kuhusu utawala wa sheria Tanzania.
"Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tuliyonayo, kama nilivyosema...