Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Dkt. Leonce Mujwahuzi amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeendelea kuwa imara kutokana na kuwa na utaratibu mzuri wa kuchagua viongozi wake kwa utaratibu wa kuwabadilisha na kuchagua viongozi wapya kila baada ya muda fulani ambapo inapelekea...