leonel ateba

Leonel Ateba (born 6 February 1999) is a Cameroonian professional footballer who plays as a forward for USM Alger in the Algerian Ligue Professionnelle 1 and the Cameroon national team.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Viongozi wa Simba shughulikieni tatizo la Ateba, ameshapigwa misumari tayari

    Ateba niliyemuona leo sio yule ambaye tunamjua, wamemwekea misumari miguuni, Viongozi wangu wa Simba lifanyieni kazi hili jambo, sio kawaida kwa Ateba kutoka kapa uwanjani mechi ya nne hii.
  2. L

    Bila kumuona Leonel Ateba kwa wiki najiona kama nina mapungufu mwilini

    Huyu striker nimemtokea kumpenda sana, kwanza ana nguvu, ana akili, ana control, ana mbinu, ana mikakati, ana uwezo mkubwa lakini ni mchana nyavu hasa.Muite Leonel Ateba Mbida. Mcameroon huyu ananivutia sana, nimeona washambuliaji wengi sana Simba, nimemuona marehemu John Makelele 'Zigzag'...
  3. Teko Modise

    Dube wa Yanga ni garasa shtukeni

    Prince Mpumelelo Dube mpaka sasa hajaonesha makali yaliyotegemewa wakati anajasajiliwa Yanga. Dube amezungukwa na wachezaji wazuri ila magoli kafunga machache sana mpaka sasa. Wakati Ateba kaja juzi ni mashine na gumzo la nchi. Tunaanza kumjadili saa ngapi huyu Dube kama garasa pale Jangwani?
  4. Mkalukungone mwamba

    Wali kuku wenye nazi wamtia kiburi Leonel Ateba. Atamba kufanya balaa kwenye dabi Oktoba 19

    Leonel Ateba kitu pekee anachokikosa Tanzania ni chakula cha Okok ambacho ni mchanganyiko wa mboga za majani zilizosagwa zinazoliwa na mihogo. Hii Ilimlazimu kutafuta chakula mbadala cha kitanzania ambacho kitaziba pengo na hapo ndipo alipopagawa na Wali kuku nazi.
  5. Chief Ortambo Ikumenye

    Simba iachane na hawa wachezaji

    1. Mutale - anacheza kama ana shoti kichwani, mbio nyingi output zero... ukiwa na mchezaji type hii ushindi wako utakuwa ni ule wa mafuluku na magoli ya papatu papatu... huwezi ku achieve sustainability. Huyu makocha wasijichoshe hafundishiki tena kwa level yake 2. Kijili - huyu naye ni kama...
  6. M

    Tunautaka Uongozi wa Simba Sc uhakikishe Ateba habadilishani jezi yake baada ya Mechi na vifaa vyake vya mazoezi vilindwe kwa gharama yoyote

    Ni kipindi kirefu washambuliaji wetu wa kigeni kila wanapofika hapa Bongo huwa wanahujumiwa na Mahasimu wetu licha ya kuwa na rekodi nzuriya ufungaji magoli huko watokapo. Chondechonde tunautaka uongozi wa Simba Sc uhakikishe safari hii washambuliaji wetu hawafanyiwi vitendo vya kishirikina...
  7. L

    Usiku Mwema Bw.Mwina Self Mohamed Kaduguda, umenifanya nisikuamini na kukudharau sana

    Juzi Bw.Kaduguda umekaririwa katika vyombo vya habari na nikakusikiliza vzr sana ukimshambulia vikali mshambuliaji Leonel Ateba eti sio striker kwa sababu za kitoto kabisa kuwa ana assist nyingi kuliko mabao. Ukasema kwa kutamba kabisa kuwa duniani kipa kazi yake ni kuokoa, beki kazi yake ni...
  8. Comrade Ally Maftah

    Mjue Leonel Ateba

    Na Comrade Ally Maftah PACOME WA MCHONGO Leonel Ateba mshambuliaji wa Simba Sports Club mwenye jezi namba 13, amezaliwa tar 6 Feb 1999 ( 25 ) Cameroon Douala, ambae ametokea USM Alger, iliyopo Algeria ana urefu wa sentimita 183. pia ni mchezaji wa timu ya taifa ya Cameroon Leonel Ateba...
  9. Mkalukungone mwamba

    Namna Maokoto ya Waarabu yalivyo haribu dili ya Simba kwa Mabululu kabla ya Ateba

    Simba kabla ya kumsajili Leonel Ateba ilikuwa imepiga hodi kwa Al Ittihad ya Misri kuulizia uwezekano wa kumsajili straika tishio wa Angola, Agostinho Cristovao Paciencia 'Mabululu', lakini ghafla mpango wao ukatibuliwa na fedha za kumwaga za Al Ahli Tripoli ya Libya ambayo ndio imefanikiwa...
  10. SAYVILLE

    Hakuna Leonel boya, Simba tumefunga zoezi la usajili kwa kishindo tukutane dimbani

    Niliongea na tajiri Mo akanisikiliza. Tajiri alikuwa kachafukwa. Aliona dharau zimezidi mtaani. Kaenda Uarabuni kabeba chuma kingine. Simba misimu hii miwili imechukua wachezaji wawili ACTIVE kutoka timu za Uarabuni, tena timu kubwa. USMA ndiyo wale waliwapiga mabomu vyura usiku na mchana na...
Back
Top Bottom