Huyu striker nimemtokea kumpenda sana, kwanza ana nguvu, ana akili, ana control, ana mbinu, ana mikakati, ana uwezo mkubwa lakini ni mchana nyavu hasa.Muite Leonel Ateba Mbida.
Mcameroon huyu ananivutia sana, nimeona washambuliaji wengi sana Simba, nimemuona marehemu John Makelele 'Zigzag'...