Taarifa ya Kwanza iliyochapishwa na Mwananchi tangu kufungiwa
Wakuu,
Naona Mwananchi wamerudi mzigoni baada ya mwezi mmoja waliokuwa wamefungiwa kuisha.
Bado najiuliza ni zile video tu ndio zilikuwa chanzo au lilikuwa onyo kwa wengine kuufyata, kugeuza shingo pembeni na kuwa kasuku kipindi...
KUSITISHWA KWA MUDA LESENI ZA HUDUMA ZA MAUDHUI MTANDAONI ZILIZOTOLEWA KWA MWANANCHI COMMUNICATIONS LIMITED
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ni Taasisi ya Serikali iliyoanzishwa kwa Sheria ya Mamlaka ya Usimamizi wa Mawasiliano Tanzania, Sheria Na. 12 ya mwaka 2003, kusimamia huduma za...