Salamu kwanza, kuna utaratibu mpya wa kuomba leseni za udereva ambao nitaelezea kama nilivyoelekezwa, unaingia katika tovuti ta TRA kisha unajisajili kwa kutumia nambari ya utambulisho wa mlipa kodi TIN unategeneza account kwenye portal yao (samahani kwa kuchanganya lugha maana hata bungeni...
Habari wanajamvi.
Nilikuwa nauliza utaratibu ukoje pamoja na gharama za Kulipia, Viambatana vya kuambatanisha, Ikiwa Una leseni ya udereva ambayo ukomo wake ni 2027 na imepotea.
Nimeenda ofisi za TRA kufuatilia leseni ya udereva lakini nilivyofika nimeshtuka kupokelewa na mtu kwenye korido ya ofisi ananiuliza unahitaji nini?
Kwa upole nikamjibu nimekuja kukata leseni ya udereva, akaniambia njoo nikusaidie.
Tukaingia ndani akaniambia una tin number nikamjibu ninayo...
Kwema ndgu zangu...
Ni ndgu yenu Mmanyanigho hapa, nilipost thread ya kuja dar
Sasa Dar nilifika salama, nimehustle mpaka nimepanga chumba maeneo ya uswahilini kidogo ila naishi kibingwa.
Hii thread ya leo naomba kujuzwa vyuo vinavyotoa mafunzo ya udereva hasa evening classes maana nna...
Kama heading inavyojieleza, Tangu nipate TIN Number, Haijawahi kutumika kwa biashara isipokuwa tu ilitumika kipindi nahitaji leseni ya udereva,
Je TIN hiyo naweza kuitumia kufungulia biashara sasa?
Je katika kupata Tax Clearance kutakuwa na complications zozote?
Nawasilisha.
Habar wapendwaa, leo nataka nishare na nyie changamoto iliyopo kwa sasa ukitaka kupata leseni ya udereva hasa kwa class C na E, nipasua kichwaaaa.
Mimi ni dereva, leseni yangu iliisha muda nilikua nataka kuongeza mdaraja nipate C na hapa nimesoma veta course ya PSV ila balaa mfumo waliouweka...
Mimi ni dereva natafuta kazi ya udereva. Nipo Dar Es Salaam, Kijichi
Leseni Yangu ni Class C1,E,D. Nina Uzoefu Wa Miaka Miwili
Cv
(1)Elimu Form 4 cheti
(2)Cheti Cha Udereva
Umri wangu miaka 26
0756912507
Naomba nielimishwe, leseni ya udereva ikiisha muda ulioandikwa inamaanisha na ujuzi unaisha? Kwa nini kama ndiyo hata vyeti vya taaluma basi tuwe tunabadilisha kila baada ya muda fulani.
Pia kama Kitambulisho cha NIDA kimefutiwa ukomo basi na leseni ifutiwe.
Au ni biashara?
Serikali imesema muswada wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote ukipitishwa na kuwa sheria na kuanza kutumika mwaka huu, mwananchi yoyote ambaye hatakuwa na bima hiyo kuanzia mwaka 2026, hataweza kupata huduma zingine ikiwamo leseni ya udereva.
Kauli hiyo imetolewa leo na mjumbe wa sekretatieti ya...
Ukiuliza watu wanaomiliki leseni za udereva walipata vipi leseni zao, asilimia kubwa watakwambia nilipiga mishe nikapita huku na kule nikapata leseni yangu. Wengi wa madereva hawa wanaomiliki leseni hizi hawajawahi kupata mafunzo rasmi ya udereva, jambo linalochangia kuwa na madereva ambao...
Habari,
Naomba msaada kwa wanaoelewa kuhusu mambo haya. Nimekuwa nikiishi nje ya nchi kwa muda sasa nimerud na lesen yangu ya udereva nimekuta tarehe ya ku-expire imeshapita yaani ni takribani miaka 3 tangu imexpire! imeexpire mwez 4/ 2019.
Nimeskia skia maneno kuwa kwamba ikipitisha mika...
Habari!
Nimepoteza leseni ya udereva, nimekamilisha taratibu zote za kupata mpya (renew).
Wamenipa kile kikaratasi chenye maelezo mafupi na tin number.
Ni lazima kulipia palepale wanapokuambia ukalipie au naweza kulipia kwa njia ya mitandao ya simu?
Thanks
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.