leseni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Inatafutwa kampuni ya kununua yenye leseni ya clearing and forwarding

    Habari wakuu. Kuna jamaa yangu amekaa sana nje, shughuli aliyokuwa anafanya huko nje ni ya clearing and forwarding, Ila kutokana na huu ugonjwa shughuli zimepoa sana. Anategemea kurudi nchini hivi karibuni, na kuendelea na clearing and forwarding. Anatafuta kampuni ya kununua isiyokuwa na...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Boomplay, Merlin waongeza mkataba wa leseni; sasa kuzifikia nchi 47 Afrika

    BOOMPLAY, MERLIN WAONGEZA MKATABA WA LESENI SASA KUZIFIKIA NCHI 47 BARANI AFRIKA Boomplay, App inayoongoza kwa huduma ya kusikiliza na kupakua muziki barani Afrika na Merlin ambaye ni mshirika huru wa kutoa leseni ya muziki kidijitali, leo wametangaza upanuzi wa makubaliano ya leseni ambayo...
  3. JamiiForums Tanzania Dereva gari limemzidi uwezo, Leseni ichunguzwe

    Dereva gari limemshindwa kila kukicha ni kumtupia lawama dereva aliyepita eti ubovu huu wa gari ulisababishwa na yeye pamoja na wasaidizi wake amesahau naye alikuwa ni kondokta wa dereva mkuu, alishindwaje kumshauri.Chaajabu anaendesha gari ovyo ovyo bila hata ya umakini hasikilizi abiria ndani...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Wapigwe Vita Polisi kunyang'anya madereva leseni

    Ajabu na kweli tunaposhuhudia utendaji mbovu kabisa wa jeshi la polisi kupata kutokea, kumbe wao pia wamejipa mamlaka zaidi na kujipongeza juu, kwa kupora haki za watu kuishi! Eti kumbe Jan - Sep 2021 wamepokonya madereva 537 leseni za udereva? Jambo la hovyo kabisa kusikika kwa wapenda haki na...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Askari mnalalamikiwa kushikilia leseni za madereva muda mrefu

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema bado Askari wanalalamikiwa kwa masuala kadhaa ikiwemo kushikilia Leseni za Madereva kwa muda mrefu au kuwalazimisha kulipa faini papo hapo ilihali Sheria inampa muda Dereva wa kuilipa. Amesema, "Kingine ni kuna ukamataji mwingi wa Vyombo. Ukipita Vituo vya...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi kupata leseni ya biashara ni mpaka uwe na Tax clearance?

    Wakuu tax clearance ni lazima kuwa nayo unapoomba leseni ya biashara?
  7. JamiiForums Tanzania Msaada: Naweza kulipia leseni ya Udereva TRA kwa njia ya simu?

    Habari! Nimepoteza leseni ya udereva, nimekamilisha taratibu zote za kupata mpya (renew). Wamenipa kile kikaratasi chenye maelezo mafupi na tin number. Ni lazima kulipia palepale wanapokuambia ukalipie au naweza kulipia kwa njia ya mitandao ya simu? Thanks
  8. JamiiForums Tanzania Hivi unaweza kupata leseni ya biashara kwa biashara ya mtandaoni isiyo na physical address?

    Eti wandugu, ukiuza vitu mtandaoni bila kuwa na ofisi unaweza pata leseni ya biashara?
  9. JamiiForums Tanzania Utapeli wa kisiasa wa CHADEMA: Robert Amsterdam hana leseni ya kufanya shughuli za uwakili Tanzania

    Shughuli za uwakili nchini Tanzania hufanywa kwa mujibu wa Sheria ya Mawakili (The Advocates Act) ambayo kimsingi, inatoa masharti, ikiwemo kuhudhuria shule ya sheria (Law School) na kisha kuapishwa na Jaji Mkuu baada ya kufaulu. Huyu Robert Amsterdam hana leseni ya kufanya shughuli za sheria...
  10. JamiiForums Tanzania TCRA yatoa onyo kali kwa Kampuni za Mabasi kuhusu usafirishaji vipeto. Wapewa muda kujisajili

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa onyo kali kwa Kampuni za Mabasi ambazo zimekuwa zikisafirisha vipeto bila kuwa na Leseni. Wamepewa muda hadi Oktoba wawe wamejisajili la sivyo kitanuka.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kutumia bure mifumo ya LUKU inayolipiwa leseni mabilioni ya tsh ni kuididimiza TANESCO kwani pesa yao unaingia Nzima inatoka nzima

    Sijaona kipengele kuwa katika makusanyo ya Kodi ya jengo kupitia luku watatoa commission kwa tanesco kwa ajili ya kufidia yafuatayo 1. Kusaidia kulipia leseni ya kuendesha mifumo ya LUKU ambayo ni mabilioni ya shilingi 2. Kufanya operation na maintance ya mita za luku kila Mwezi mi mamilioni...
  12. JamiiForums Tanzania Zanzibar: 25 matatani kufanya biashara bila leseni

    Watu 25 wakiwamo mameneja mauzo wa baa wamekamatwa na kufunguliwa mashtaka ya kufanya biashara bila ya leseni katika operesheni iliyoendeshwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Vileo Zanzibar, Abdulrazaki Abdulkadiri na askari waliokuwa na silaha Watuhumiwa hao wamesomewa mashtaka yao mbele ya Hakimu wa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania TCRA yazindua mfumo ulioboreshwa wa utoaji wa leseni mtandaoni

    TCRA YAZINDUA MFUMO ULIOBORESHWA WA UTOAJI WA LESENI MTANDAONI. Leo 31 Julai,2021. Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imefanya uzinduzi wa Mfumo ulioboreshwa wa Utoaji wa Leseni kwa njia ya Mtandao. Mgeni Rasmi katika uzinduzi huo alikuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt...
  14. JamiiForums Tanzania Tuanzishe leseni kwa walevi Ili kulinda watoto chini ya miaka 18

    Habari wakuu. Kuna haja ya Kuanzisha leseni ya ulevi kwa mdaraja tofauti tofauti Ili kuwa chanzo cha mapato na kulinda watoto chini ya miaka 18. Mfano wa leseni utakuwa kama hii hapa chini 👇👇
  15. JamiiForums Tanzania Leseni ya umiliki silaha Vs Leseni ya udereva ipi imeleta madhara zaidi?

    Sina takwimu kamili Issue ya umiliki wa silaha imeleta fikra/ hisia/ mawazo mengi kwa Watanzania hasa baada ya taarifa za wiki iliyoisha(weekend). Kikubwa nimejifunza Wengi wanalaani umilikishwaji wa silaha kwa watu.(kiholela) Ingawa process ni ndefu. Wanakemea na kuiomba serikali Au taasisi...
  16. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Leseni ya ulevi daraja A

    NO 1013 ZANZIBAR KANUNI ZA ULEVI LESENI YA ULEVI DARAJA A-LESENI YA ULEVI WA KILA AINA (KANUNI YA 14) ZANZIBAR KANUNI ZA KILEVI KIBALI CHA ULEVI A. KIBALI KAMILI CHA DARAJA LA KWANZA ( SHERIA YA 14 )
  17. JamiiForums Tanzania Serikali kurejesha leseni kwa maduka ya kubadili fedha yatakayokidhi tathmini inayofanyika

    WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba, ameagiza wataalamu wa wizara hiyo kufanya tathmini ya maduka ya kubadilisha fedha na kurejesha leseni kwa wenye vigezo ambao awali walifutiwa. Katika mahojiano na Kituo cha Azam TV jana, Dk. Nchemba alisema kwa sasa wanafanya tathmini mpya...
  18. JamiiForums Tanzania Napataje Leseni ya kuwa agent wa huduma za ajira?

    Habari wadau yoyote mwenye kujua swala zima lakupata Leseni ya uwakala wa ajira.
  19. JamiiForums Tanzania Leseni ya wakili wa Trump yasimamishwa kwa miaka miwili kwa kuchombeza madai ya yasiyo na ukweli

    On Thursday, a New York court suspended Giuliani's license to practice law in the state for two years, making him the first attorney to experience professional consequences for perpetuating lies about fraud in the 2020 election. The court found "uncontroverted evidence" that Giuliani had...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Vitambulisho vya Wachinga ni leseni halali kwa mujibu wa Sheria Namba 6 ya 2014

    Katika Sheria ya leseni sura 208 ya 1972 na marekebisho yake (Act Supplement Number 6 of 2014, Ibara ya 7) imewatambua wafanyabiashara wadogo na kuweka viwango vya leseni vya elfu 20. Hivyo vitambulisho vya machinga ni lesseni halali kwa mujibu wa Sheria, na wala sio hisani ya mtu hivyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…