liberata mulamula

Liberata Mulamula, née Rutageruka (born 1956) is a Tanzanian diplomat and politician presently serving as Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation since April 2021. She was appointed to her current position by President Samia Suluhu, on 31 March 2021 and was sworn into office on 1 April 2021.Ambassador Mulamula has a 35+ year history as a diplomat and administrator in the Tanzanian Ministry of Foreign Affairs and Regional Cooperation, including as Tanzania's ambassador to the United Nations in New York City, Canada and the United States of America.Before her retirement from the diplomatic service in April 2016, she served as the Permanent Secretary at the Ministry Foreign Affairs and East African Cooperation, for a period of seven months, between May 2015 until December 2015.She also served as the first Executive Secretary of the International Conference on the Great Lakes Region (ICGLR), based in Bujumbura, Burundi, from 2006 until 2011. In this role, she oversaw Peace, Stability and Development in 11 countries in the African Great Lakes Region.

View More On Wikipedia.org
  1. mngony

    Yuko wapi Balozi Liberata Mulamula? Mwanadiplomasia huyu Nguli aliiweza sana Wizara ya Mambo ya Nje

    Nguli huyu wa Diplomasia aliitendea haki Wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa Kimataifa kutokana uzoefu uzoefu wake kama Balozi aliyewahi kutuwakilisha huko ughaibuni. Nakumbuka alikuwa na kasi kubwa sana tangu alivyopewa majukumu ya kuongoza Wizara kabla ya kufikiwa na ' ajali ya kisiasa'...
  2. K

    Liberata Mulamula ni Robert Ouko mwingine?

    Liberata Mulamula inaelekea alikuwa anapata sifa sana kwa viongozi wa nje na kuna washauri hawajapendezwa na hili. Hii imesababisha washauri kuanza kuongelea mipaka na mambo mengine. Ushauri Rais usiweke uwoga sana kwa wasaidizi wako hata kama wamekuzidi kielimu au kupendwa. Usiogope wasaidizi...
  3. Kijogoodi

    Kutumbuliwa kwa Mulamula na kusuasua kwa Nape na Makamba, Hayati Magufuli alikuwa na maono

    Kila kilichokataliwa na Magufuli kitabaki vilevile na kila kilichoinuliwa na Magufuli kitabaki vilevile. Iko wapi bandari ya Bagamoyo? Kuhusu uwanja wa ndege Chato je? Vipi kuhusu waliopinga serikali kuhamia Dodoma? Vipi kuhusu utendaji wa Nape, Nchemba na Makamba kwa sasa? Ikumbukwe, hata...
  4. J

    Waziri Mulamula apokea msaada wa Tende kutoka Saudi Arabia

    Waziri wa Mambo ya Nje Mh. Mulamula jana alikabidhiwa msaada wa Tende kutoka kwa Balozi wa Saudi Arabia nchini. Matunda ya Tende hutumiwa kama tiba mbadala kwa Maradhi mbalimbali. Source: ITV
  5. B

    Waziri Mulamula asisitiza umoja na mshikamano kwa nchi za Afrika na Nordic

    15 Jun 2022 Helsinki, Finland Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Liberata Mulamula akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Afrika na Nordic baada ya kumalizika kwa mkutano wa 19 wa Mawaziri hao jijini Helsinki, Finland. Waziri wa...
  6. voicer

    Kulikoni Waziri Liberata Mulamula! Au Ameparura Mahali?

    Ni kitambo sasa tangu tumuone akiwa bega kwa bega na Rais Samia kwenye ziara za kimataifa, kama inavyopaswa kuwa. Na Pia katika shughuli zingine za kidiplomasia, ndani ya nchi kama tulivyokwishazowea. kumuona. Mara ya mwisho hadharani, kama sikosei ilikuwa ni kwenye ziara ya Rais Samia kwenda...
  7. Roving Journalist

    Tanzania: Hatukupiga kura sababu tulichotaka kati ya Urusi vs Ukraine hakikutokea!

    Serikali ya Tanzania imetoa ufafanuzi kuhusu sababu ya kupiga kura ya kutofungamana na upande wowote katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu mgogoro unaoendelea kati ya Russia na Ukraine Imesisitiza pande zote mbili kutafuta suluhu katika meza ya mazungumzo hilo ndilo walilotaka...
  8. The Palm Tree

    Video: Kumbe kabla Rais Samia kwenda kwenye UNGA - New York , waziri Liberata Mulamula alitangulia mwezi mmoja kabla. Why..?

    You may not like this. But it happened... Kumbe bwana, kabla ya Rais Samia Hassan kuhudhuria summit ya kikao cha UNGA, NewYork wiki kadhaa zilizopita, balozi Liberata Mulamula, waziri wa mambo ya kigeni alitangulia mwezi mmoja kabla.... Shida siyo Balozi Mulamula kuwahi kutangulia mwezi mmoja...
  9. meningitis

    Marekani: Rais Biden apanga kuwateua mabalozi wapya kwa Tanzania, China na Japan

    Hii ni hatua muhimu ya kuonesha misuli ya Tanzania dhidi ya wote wasio itakia mema Tanzania. Huwezi ukasapoti Ugaidi waziwazi halafu ukaachwa tu. Naamini Biden amemuondoa Balozi huyu wa USA Tanzania kutokana na kitendo cha ubalozi kwenda kusikiliza kesi ya ugaidi kitendo kilicholalamikiwa na...
  10. Zanzibar-ASP

    Balozi Mulamula usiwatishe mabalozi. Mahakama ni eneo la umma, huru na salama

    Siku ya jana nimemsikia Balozi Mulamula akitoa onyo na vitisho dhidi ya mabalozi, maafisa wa kidiplomasia wanaoziwakilisha nchi zao na taasisi za kimataifa hapa Tanzania kuhusu hatua yao kuhudhuria mahakamani kusikiliza kesi ya ugaidi inayomkabili mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe. Balozi...
  11. Erythrocyte

    Mabalozi wa kigeni wanaohudhuria kesi ya Mbowe waonywa

    Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Africa Mashariki, Mulamula, ambaye amewataka mabalozi hao kufuata sheria na taratibu za kidiplomasia , hakufafanua taratibu hizo kama zinawakataza mabalozi kuhudhuria kesi mahakamani au la. ======== Waziri wa Mambo ya Nje...
  12. J

    Waziri Mulamula: Tanzania kuanza kununua magari Rwanda

    Waziri wa mambo ya nje mh Mulamula amesema Tanzania tutaanza kununua magari kutoka Rwanda kwa wale wanaopenda VW Mulamula amesema hayo baada ya kutembelea kiwanda cha VW huko Rwanda akiwa na mh Rais Samia.
  13. G

    Liberata Mulamula sasa unachafuka kimataifa

    Ulipokuwa ukihojiwa na ITV kwenye kipindi cha dakika 45 ulionesha jinsi ilivyokuwa ngumu kueleweka kimataifa kwenye suala la diplomasia wakati wa awamu ya tano. Na ukasema diplomasia inaanzia ndani ya nchi, namna tunavyoendesha siasa zetu. Siasa zikiwa za hovyo hata diplomasia inakuwa ya hovyo...
  14. Ajuasadi

    Open Letter to Minister Liberata Mulamula on the fall of UDSM

    Dear Minister of Foreign Affairs, First and foremost, i would like to congratulate the President of United Republic of Tanzania Mama Samia for appointing you to be the Minister of Foreign Affairs. Most Elites rejouced together with you becauseeqqf your appointment signals her respect to...
  15. S

    Ushauri kwa Balozi Mulamula: Mkitaka Tanzania ifaidike na Diaspora suala la uraia pacha haliepukiki

    Balozi Malamula hivi karibuni ametoa kauli kwamba serikali inaandaa sera ili Tanzania inufaike na Diaspora. Mimi nadhani huku ni kupotezeana muda tu. Nilishalisema sana jambo la Diaspora humu ndani. Nilishaziponda sana point za Watanzania ambao wanadai kuwa tusiruhusu uraia pacha kwa kuwa watu...
  16. Papaa Mobimba

    Rais Samia Suluhu ateua Wabunge wapya watatu na kuteua Baraza la Mawaziri

    Wabunge wapya walioteuliwa kuwa wabunge ni pamoja na Aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Kakurwa Ali, Mbarouk Nassor Mbarouk na Liberata Mulamula. Rais Samia Suluhu akitangaza Baraza la Mawaziri amesema... ''Kuondoka kwa Mpango kumefanya nifanye mabadiliko kidogo kwenye Baraza la...
Back
Top Bottom