library

  1. W

    Watoto Media Library: Tupeane mapendekeza ya filamu, nyimbo au vipindi vinavyofaa kwa burudani, maadili na elimu ya Watoto

    Katika dunia ya leo, vipindi vingi vya kisasa vinaanza kuingiza maudhui yanayoweza kupotosha maadili, hata kwenye burudani za watoto. Ni jukumu letu kama wazazi na walezi kuchuja na kuhakikisha tunachagua cartoons, filamu, na miziki ambayo sio tu inaburudisha bali pia inalinda maadili mema na...
  2. BIASHARA YA MOVIES LIBRARY

    Mm n kijana wa kitanzania, npo maeneo ya Nyegezi Mtaa wa Nyamazobe, ninahitaji kufungua biashara ya kuweka movies na nyimbo mbalimbali, 1. Naombeni ushauri wenu wadau kuhusu vitu vya msingi vya kuzingatia. 2. Sehem gani hapa mwanza naweza nkapata CD za kuanziakwa bei ya jumla.
  3. UDOM library imefungwa wafanyakazi wameenda sabato

    Jamani hali ya elimu ya juu ndiyo hiyo wafanyakazi wa vimemo wameota mapembe hawafungui library ya chuo kisa wao wameenda sabato.Hizi dharau sana aisee. Kwa stahili hii tutafika kweli uchumi wa viwanda. Library ni collage ya CIVE. Update/mrejesho 1.Library imefunguliwa saa 3 na dakika zake...
  4. K

    Naomba msaada juu ya mchanganuo wa kufungua library classic ya movie HD/4K

    Habari ya uzima wana jamii forum Naomba msaada juu ya mchanganuo wa kufungua library classic ya movie na series HD/4K ipoje na imekaaje soko lake kwa sasa. 1. Mahitaji kiujumla 2. Faida na hasara(changamoto) 3. Ushauri na maoni yanapokelewa Naomba msaada wenu
  5. J

    Mtu aliyesomea bachelor of library information studies anaweza fanya kazi gani mbali na ukutubi

    Kaka yangu ananilazimisha nikasome hiyo kozi lakini mimi nahisi siielewi.
  6. Movies 15 ambazo hupaswi kuzikosa kwenye Library yako muda wote

    1. Lone Survivor (2013) 2. The Covenant (2023) 3. Extraction (2020) 4. 13 Hours (2016) 5. Operation Red Sea (2018) 6. Without Remorse (2021) 7. Mad Max: Fury Road (2015) 8. Saving Private Ryan (1998) 9. The Old Guard (2020) 10. The Hurt Locker (2008) 11. Hacksaw Ridge (2016)...
  7. Top 10 Favourite Books I've Read in 2022 πŸ“š - Frank M Lwakatare

    Also see my 2021 Top 10 Books I Read Review.πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1941861/
  8. Je, tuanzishe JF University (JFU)? Itakuwa the largest, the biggest & the richest reference library in Tanzania. Je, Max awe VC Wetu?

    Wanabodi, Leo tena nimepata fursa ya kushuka na kwa maslahi ya taifa, leo ni kuhusu kuifanya jf kuwa ni chuo kikuu yaani tuanzishe a JF University, tuuite JFU, Sikh hizi with cyber world, chuo kikuu sio lazima kiwe na eneo maalum, kuna vyuo vikuu ni virtual reality only! hakuna darasa...
  9. Library Assistant II at TUDARCo

    Introduction Tumaini University Dar es Salaam College (TUDARCo), which is owned by the Eastern and Coastal Diocese (ECD) of the Evangelical Lutheran Church in Tanzania (ELCT), is one of the Constituent Colleges of Tumaini University Makumira (TUMA). The institution was granted Certificate of...
  10. Naombeni Ushauri Kuhusu Biashara ya Kukodisha CD za Movies

    Habari Ndugu Zangu Naimani Wote Ni Wazima Wa Afya.πŸ™ Ndugu Zangu Nimepata Wazo La Kufanya Biashara Ya Library Yani Kuban Movies Kwa empty CD Na Music Pia Kuuza Flash Na Memory Card Pia Kuuza Vifaa Vidogo Vidogo Vya Simu Kama Vile Earphones, Makava Ya Simu Na Chaji. Kwani Mtaji Ninao...
  11. Maktaba (library) ngapi zilijengwa baada ya Uhuru?

    Maktaba ni sehemu ya watu kuongeza maarifa, mwana saikolojia Maslow katika mahitaji ya binadamu ameweka knowledge kama hitaji la tatu kuu muhimu kwa mwanadamu ili aweze kuendesha maisha yake ya kila siku na kujipatia maendeleo kutoka hapo alipo. Ni nadra sana kusikia kijana anasema atakua...
  12. Library video: Rais Mstaafu Jakaya Kikwete alipokutana na kina Freeman Mbowe, Tundu Lissu na wengine

    Kwani kuna ubaya gani kukutana kama hivi na kuongea pamoja?
  13. Inertiajs - Lightweight javascript library unayopaswa kuijaribu

    Niaje wana Tech.. Kama miezi minne iliyopita nilikutana na hii Javascript Library Inertiajs Kidogo ni mpya, ila nikajaribu kuitumia kwa sababu kuu zifatazo Nilikua na upgrade Projects zangu kutoka Laravel 7 kwenda Laravel 8 Laravel 8 ime ship na package moja nzuri sana inayoitwa Laravel...
  14. Library iko Munich Allegmagne

  15. Anatafuta kazi ya library (Maktaba) kwa shule za Secondary na primary school mpaka chuo?

    Habari Wakuu Mambo vipi? Anatafuta kazi ya library. Amesomea base ya library kwa shule za secondary na primary school mpaka chuo kwa upande wa maktaba, jinsia ni wa kike yupo dar es salaam, namba ya simu ni 0754831451
  16. Music and Video library

    Nina lengo la kufungua video library yaani kurushia wateja movies pamoja na mziki. Kwa wanao fahamu, series/seasons nitapataje?
  17. Programme Assistant (Library), FS4 at United Nations

    Posting Title: Programme Assistant (Library), FS4 Job Code Title: Library Assistant Department/Office: International Residual Mechanism for Criminal Tribunals Duty Station: ARUSHA Posting Period: 16 April 2020 – 15 May 2020 Job Opening Number: 20-Documentation and Information...
  18. S

    Tujadili njia za kumsaidia mtoto kuongeza IQ yake katika ukuaji

    Habari za asubuhi wanajamvi, Nimeleta uzi hapa naamini nitapata msaada wa kimawazo. Kwa kawaida katika makuzi ya watoto malezi yanatofautiana na hivyo kuleta tabia tofautitofauti baina ya familia moja na nyingine au jamii moja na nyingine. Hoja yangu ni kuhusu kuongeza IQ, Creativity and...
  19. R

    Tanzania Online Virtual Library ( TOVL ) - Waaachia toleo la kwanza la application ya android

    Habari JF. Ni habari njema kwa watumiaji wa service ya TOVL kwa ajili ya kusoma vitabu online, na sasa wameamua kuachia toleo lao kwa watumiaji wa simu platform ya android . Ni jambo jema sasa tutakuwa na uwezo wa kusoma vitabu popote. Hongeren sana team nzima ya TOVL Download : TOVL (...
  20. R

    TOVL - Maktaba ya mtandaoni inayohimiza matumizi ya kompyuta kwa watoto

    Habari wana JF .. Nimekutana na hii habari mwananchi nikaona ni vizuri kushare Rainer Mwashu, mtaalamu wa utengenezaji wa mifumo ya kompyuta, ambaye kwa sasa ni muajiriwa wa Mamlaka ya Bandari, iliyo chini ya Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi , ametengeneza maktaba ya mtandaoni kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…