Nafikiri kwenye 3d hakuna future Wala present ni past tu so ni lazima tufe coz tulishakufagaa. to see the future is like to remember how it was.
To see the future and you living straight to no where is impossible (tafakari)otherwize you knew it.
Buddah said we are all here because we know...
Nafikiri kwenye 3d hakuna future Wala present ni past tu so ni lazima tufe coz tulishakufagaa. to see the future is like to remember how it was. To see the future and you living straight to no where is impossible (tafakari)otherwize you knew it.
Buddah said we are all here because we know...
Kwa wale wafatiliaji wa time traveler kwa kupitia hii YouTube channel, watakua wanamfahamu huyu jamaa anaeitwa Noah. huyu mtu alikua anasema yeye ni mtu kutokea future [2030]. Ameaminisha watu wengi sana kuhusu kusafiri kwa muda.
Tarehe 23 July 2019, ApexTv walirusha video yake ambayo inaonyesha...
Habari zenu,
Kwanza kabisa kama kichwa kijielezavyo hapo juu ,leo nimemaua kuzungumizia kuhusu wanafunzi waliomaliza kidato cha nne mwaka 2018 na wanatarajia kujiunga na vyuo mbalimbali kwa masomo mbalimbali mwaka wa masomo 2019.
Nitazungumzia mada hii muhimu kwa kugusa maeneo yafuatayo...
Habar wakuu..
Naomba wenye uelewa na haya mambo wanijuze. Ni zaidi ya maramoja imenitokea hii hali.
Mara ya mwisho ambayo ni jana ilikuwa hivi.!
Nilishtuka kutoka usingizini mida ninayo amka kila siku, lakin kutokana na kuwa jana ilikuwa siku yang ya kupumzika sikuona ulazima wa kuiacha shuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.