Unapotoa lifti kwa baadhi ya watu tegemea mambo haya,
- Wizi/ukwapuaji - si ajabu umempakiza mkaka mtanashati au mdada mlimbwende lakini anaposhuka akaondoka na kitu chako hasa hivi vitu vya thamani mfano laptop. Umefika unakoenda unachungulia kitu chako ukawajibike unakuta holaah hamna kitu...
Siku chache baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kudai 'lifti' tano kati ya sita kwenye jengo la Millennium Tower 2 hazifanyi kazi, wasimamizi wa jengo hilo wamekiri uwepo wa changamoto hiyo na kuwaomba watumiaji ikiwemo wapangaji kuwavumilia kidogo wakati wakifanya marekebisho ambayo wamedai...
Wajuzi wa mambo naomba kupata ufahamu kidogo, kutokana na suala la lifti kuporomoka Millennium Towers nimeona baadhi ya wadau wakisema lift ikizidisha uzito haifungi wengine wakidai inatoa maelekezo kuwa watu wamezidi na kuwataka kupungua.
Je, ni kweli wanaodai hivyo wako sawa? Na kama wako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.