lifti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mambo yanayokatisha tamaa kuwapa lifti baadhi ya watu

    Unapotoa lifti kwa baadhi ya watu tegemea mambo haya, - Wizi/ukwapuaji - si ajabu umempakiza mkaka mtanashati au mdada mlimbwende lakini anaposhuka akaondoka na kitu chako hasa hivi vitu vya thamani mfano laptop. Umefika unakoenda unachungulia kitu chako ukawajibike unakuta holaah hamna kitu...
  2. Wasimamizi Millennium Tower 2 wakiri changamoto ya lifti, waomba watumiaji kuwa wavumilivu marekebisho yakiendelea

    Siku chache baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kudai 'lifti' tano kati ya sita kwenye jengo la Millennium Tower 2 hazifanyi kazi, wasimamizi wa jengo hilo wamekiri uwepo wa changamoto hiyo na kuwaomba watumiaji ikiwemo wapangaji kuwavumilia kidogo wakati wakifanya marekebisho ambayo wamedai...
  3. Picha: Jamaa Dubai ghafla akutana na Mfalme ndani ya lift

  4. Je, lifti ikizidiwa uzito inafunga mlango?

    Wajuzi wa mambo naomba kupata ufahamu kidogo, kutokana na suala la lifti kuporomoka Millennium Towers nimeona baadhi ya wadau wakisema lift ikizidisha uzito haifungi wengine wakidai inatoa maelekezo kuwa watu wamezidi na kuwataka kupungua. Je, ni kweli wanaodai hivyo wako sawa? Na kama wako...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…