Serikali imeanza kutekeleza ujenzi wa barabara ya Itoni-Lusitu (km 50) kwa kiwango cha zege, ambayo itagharimu kiasi cha shilingi Bilioni 113 ili kurahisisha usafirishaji wa makaa ya mawe ya Mchuchuma na madini ya Chuma cha Liganga.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa...
TIZAMA PICHA ZA KITUO CHA AFYA MUNDINDI AMBACHO KINAENDA KUHUDUMIA WAKAZI ZAIDI YA 40,000 TARAFA YA LIGANGA- KATA YA MUNDINDI, WILAYA YA LUDEWA
Wakazi zaidi ya 40,000 wa Tarafa ya Liganga wilayani Ludewa mkoani Njombe wameondokana na adha ya kutembea umbali wa zaidi ya Km. 50 kufuata huduma ya...
ZIARA TARAFA YA LIGANGA, KATA YA LUGARAWA- KIJIJI CHA MDILIDILI- SHULE YA SEKONDARI LUGARAWA.
Februari 23, 2023 Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Mhe. Victoria Mwanziva akiambatana na Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya walifanya kikao na wananchi wa Kata ya Lugarawa juu ya majanga ya moto yaliyo tokea...
Mbona unayalaumu mabenki na makampuni ya simu, Kwani serikali haitozi kodi kwenye miamala inayotoza mabenki na makampuni ya simu kwa watumiaji? Yaani Mh. Zungu unachotaka wewe ni serikali akate kodi kwenye makusanyo ya mabenki na makampuni ya simu kutoka kwa mteja halafu mkate kodi tena kwa...
Mbunge Deodatus Mwanyika (Njombe) amesema inaonekana hakuna Mkakati wowote katika Mradi huo wa Makaa Ya Mawe unaotajwa kuwa wa kimkakati, kwani hakuna taarifa zozote zinazotolewa kuhusu mazungumzo yalipofikia
Ameeleza, "Sisi Watanzania ni watu wa ajabu. Tuna Makaa ya Mawe ambayo bei yake ni...
IN THE HIGH COURT OF TANZANIA
IN THE DISTRICT REGISTRY AT MWANZA
MISCELLANEOUS CIVIL APPLICATION NO. 152 OF 2019
(Arising from PC Civil Appeal No. 37 of 2018 which originated from Bupandwa Primary Court, Civil Case No. 27 of 2017)
WILFRED JOHN...
ULE msemo kuwa chelewa chelewa utamkuta mwana si wako umejidhihirisha wazi kwenye suala lauwekezaji wa mradi wa Liganga na Mchuchuma wilayani Ludewa mkoani Njombe ambapo mwekezaji, Sichuan Hongda Group yuko njia panda kwa kukosa mwelekeo na kuungwa mkono.
Kampuni imesema madai yote yalikuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.