liganga

  1. Tsh. Bilioni 113 kujenga KM 50 Barabara ya zege kuelekea Liganga na Mchuchuma

    Serikali imeanza kutekeleza ujenzi wa barabara ya Itoni-Lusitu (km 50) kwa kiwango cha zege, ambayo itagharimu kiasi cha shilingi Bilioni 113 ili kurahisisha usafirishaji wa makaa ya mawe ya Mchuchuma na madini ya Chuma cha Liganga. Hayo yamesemwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa...
  2. Kituo cha Afya Mundindi Tarafa ya Liganga Kinachokwenda Kuhudumia Wakazi Zaidi ya 40,000 Wilaya ya Ludewa

    TIZAMA PICHA ZA KITUO CHA AFYA MUNDINDI AMBACHO KINAENDA KUHUDUMIA WAKAZI ZAIDI YA 40,000 TARAFA YA LIGANGA- KATA YA MUNDINDI, WILAYA YA LUDEWA Wakazi zaidi ya 40,000 wa Tarafa ya Liganga wilayani Ludewa mkoani Njombe wameondokana na adha ya kutembea umbali wa zaidi ya Km. 50 kufuata huduma ya...
  3. Ziara tarafa ya Liganga, kata ya Lugarawa - kijiji cha Mdilidili - shule ya sekondari Lugarawa, Ludewa

    ZIARA TARAFA YA LIGANGA, KATA YA LUGARAWA- KIJIJI CHA MDILIDILI- SHULE YA SEKONDARI LUGARAWA. Februari 23, 2023 Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Mhe. Victoria Mwanziva akiambatana na Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya walifanya kikao na wananchi wa Kata ya Lugarawa juu ya majanga ya moto yaliyo tokea...
  4. Zungu achana na tozo hangaika na Liganga na Mchuchuma

    Mbona unayalaumu mabenki na makampuni ya simu, Kwani serikali haitozi kodi kwenye miamala inayotoza mabenki na makampuni ya simu kwa watumiaji? Yaani Mh. Zungu unachotaka wewe ni serikali akate kodi kwenye makusanyo ya mabenki na makampuni ya simu kutoka kwa mteja halafu mkate kodi tena kwa...
  5. Mbunge Deo Mwanyika: Tunafanya mchezo na Mradi wa Liganga-Mchuchuma

    Mbunge Deodatus Mwanyika (Njombe) amesema inaonekana hakuna Mkakati wowote katika Mradi huo wa Makaa Ya Mawe unaotajwa kuwa wa kimkakati, kwani hakuna taarifa zozote zinazotolewa kuhusu mazungumzo yalipofikia Ameeleza, "Sisi Watanzania ni watu wa ajabu. Tuna Makaa ya Mawe ambayo bei yake ni...
  6. R

    Hii ni extract kutoka kesi aliyoamua Jaji Liganga huyu huyu ambaye anaahirisha kesi kuwa kuna utata, ambapo alikubali msimamo wa Kibatala

    IN THE HIGH COURT OF TANZANIA IN THE DISTRICT REGISTRY AT MWANZA MISCELLANEOUS CIVIL APPLICATION NO. 152 OF 2019 (Arising from PC Civil Appeal No. 37 of 2018 which originated from Bupandwa Primary Court, Civil Case No. 27 of 2017) WILFRED JOHN...
  7. Buriani mradi wa Liganga na Mchuchuma

    ULE msemo kuwa chelewa chelewa utamkuta mwana si wako umejidhihirisha wazi kwenye suala lauwekezaji wa mradi wa Liganga na Mchuchuma wilayani Ludewa mkoani Njombe ambapo mwekezaji, Sichuan Hongda Group yuko njia panda kwa kukosa mwelekeo na kuungwa mkono. Kampuni imesema madai yote yalikuwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…