Habari wakuu,
Nimechunguza na kugundua kwenye Road Traffic Act ya Tanzania kuna sheria ambazo hazijaainishwa vizuri haswa kwenye suala la kuvuta trailer ndogo (binafsi). Kwa wale mnaofahamu naomba muongozo.
1. Je ni halali kuvuta trela lililosajiliwa nchi nyingine? (kama lina documents zote)...