ligi kuu ya uingereza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania Goes Extra: Guinness yalileta Kombe la Ligi Kuu ya Uingereza Tanzania

    Soka si dakika 90 pekee uwanjani. Ni mijadala isiyoisha hata baada ya filimbi ya mwisho, jezi zinazovaliwa kwa fahari, mitaa yenye mashabiki wanaoshikilia timu zao kwa dhati na urafiki unaodumu licha ya ushindani mkali wa timu pinzani. Hivyo, Kombe la Ligi Kuu ya England lilipotua Tanzania...
  2. JamiiForums Tanzania Tutabiri top 6 ya ligi kuu ya Uingereza itakavyomalizika

    Huu ndio msimamo ulivyo sasa UTABIRI WANGU: 1: Arsenal 2: Man City 3: Aston Villa 4: Man Utd 5: Chelsea 6: Liverpool
  3. JamiiForums Tanzania Ligi kuu ya England EPL kuendelea leo bingwa mtetezi Liverpool kukipiga na Bournemouth

    Baada ya kumalizika rasmi kwa msimu wa 2024/2025 mnamo Mei 25, 2025, Ligi Kuu ya Uingereza (English Premier League) itaendelea leo kuashiria rasmi kuanza kwa msimu wa 2025/2026. Mchezo wa ufunguzi utafanyika majira ya saa 4:00 usiku katika dimba la Anfield, kati ya bingwa mtetezi Liverpool na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…