[emoji625]"Hii ndio moja ya faida ya timu zote kupata udhamini mnono. Ushindani unakuwa juu sana, Hata intensity ya Ligi yetu inazidi kupanda kila siku, GSM ameongeza thamani ya Ligi yetu. NBC Premier League imeshaanza kufanana na EPL.
[emoji625]Anafungwa yeyote mahali popote." "Hongera sana...