Huwa nashangaa sana unakuta watu mpaka wanapigana kisa simba na yanga aisee ukicheki maisha yamewachapa vibaya watanzania akili zero kabisa yaani timu zinacheza mpira kama wamasai wanavyorukaruka na hivyo viwanja wanavyochezea ni kama mashamba ya mpunga ni kichekesho sana kiufupi mtu...
Habari za mchana, kwa uchache wa maneno ukijaribu kufatilia kuanzi mechi ya kwanza had imefikia sasa mzunguko wa8 kwa baadhi ya timu, utaona utaona hamna mechi hata moja iliyoihusisha Simba, Yanga au Azam wakicheza majira ya sa8 mchana na ukifatilia ratiba yote haikuonyeshi mda huo kwa hizo...
Imekuwa kama dharau kwa mzawa kocha Juma Mgunda kila timu inapopoteana (mwendelezo mbovu) na makocha wa kigeni kutimuliwa timu ya Simba sc huwa inamkubuka Juma Mgunda na kumpa timu tena.
Nani asiyejua uwezo wa Juma Mgunda katika ligi hii? Juma Mgunda siyo wakufanya kibarua cha saidia fundi ila...
Azam media imeshinda tender ya kuidhamini ligi kuu kwenye matangazo, ingawa hatujui ilishindanishwa na kampuni zipi za habari.
Azam groups wanamiliki timu ya mpira inayoshiriki ligi kuu pia lakini Ina watangazaji, waandishi na watendaji ambao wanashindwa kutenganisha kati ya kazi ya kuidhamini...
Kwa Mujibu wa Current Fifa ranking, timu kumi Bora Africa ni pamoja na Mali na Burkina Faso. LIGI kuu ya Tanzania Ina wachezaji Diarra na Aziz Ki Kwenye timu za Taifa hizo zilizo Kwenye kumi Bora. Wanaiheshimisha ligi kuu ya Tanzania. Tunaisubiria Kwa hamu ranking ya 15th February Labda Kwa...
Kwa muda sasa kumekuwa na kupongezana kutokana na taarifa kuwa ligi kuu ya NBC ilitangazwa ni ligi ya 5 kwa ubora katika bara la Afrika.
Kwa muda mrefu nimejaribu kuitafuta hii taarifa humu mitandaoni kutoka vyanzo vyovyote vya nje ikiwemo CAF wenyewe ila hadi leo sijawahi kuiona mahali...
Hii ni kumbukumbu ambayo haitopotea katika tasnia yetu ya michezo baada ya msemaji wa Simba (Ahmedy Ally ) kuibua hoja mbele ya wadau na wapenda soka/ wapenda maendeleo wanaopigana usiku na mchana ili ligi yetu ipae kimataifa.
Msemaji wa simba alitamka maneno kuwa "ligi yetu ni dhaifu" baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.