Kuanza kuonekana Kwa ligi ya Uingereza hapa nchini kulikuja wakati Manchester United ikiwa kwenye kilele Cha mafanikio.
Enzi za kina Dwight Yorke na mwenzake Andy Cole mpaka zama za kina David Beckham, ligi ya Uingereza ilikuwa na mashabiki wengi sana Tanzania.
Lakini baada ya kuondoka Kwa...
Kuna hili swali wadau hivi timu kubwa yenye MAFANIKIO makubwa katika ligi zote ilizoshiriki pale uingereza ni timu gani hapa nikimaanisha ligi kuu na UEFA naomba kuijua ambayo ni namba moja maana hapa Kuna mtu mbishi sana tunabishana namuambia ni Liverpool ndio Ina makombe mengi