ligi

Ligi [ˈliɡi] (German: Liegen) is a village in the administrative district of Gmina Miłomłyn, within Ostróda County, Warmian-Masurian Voivodeship, in northern Poland.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Simba cement kuongeza idadi ya wadhamini ligi kuuu, kitanuka tena kwa hakika

    Hawa jamaa siyo tu wataambiwa wabadili rangi simba awe wa njano ila watapigwa mkwara waweke hata swala wataulizwa ushawahi kuona simba na mambo ya cement wataambiwa kama vipi iteni hata Dar es salaam cement
  2. Wahudumu wa Benki inayodhamini Ligi Kuu wanaupiga mwingi

    Kutoka tawi la Makumbusho/Kijitonyama namba ngapi umemuelewa
  3. T

    Simba walivyopendeza na logo ya NBC, kanuni kuitoa Yanga kwenye ligi

    Simba na NBC ni kama kiuno na mkanda tangu enzi hizoooo jezi la mnyama simba likiwa limechafuka kama kawaida kitendo ambacho siyo rahisi kukuta kwenye team zinazofanya vibaya kuvutia sponsors wa kuchafua jezi. Pichani ni Mnyama Pawasa akiwa ametinga uzi wenye twiga mwekundu vilevile ni vyema...
  4. C

    Yanga lazima wagombane na NBC wadhamini wa ligi

    Kesho inatarajiwa benki ya NBC kutangazwa kama wadhamini rasmi wa ligi kuu ila tuambiane tu ukweli UTOPWINYO KESHO KINANUKA watakataa hiyo logo watasema Twiga mwekundu hawataki awe wa njano au kijani, ni majitu fulani yasiyoheshimu watu hata nembo za wenzao hawaheshimu nakumbuka last year...
  5. M

    Viwanja ambavyo havistahili kuchezea mechi za ligi kuu

    1.Ule uwanja unaotumiwa na dodoma jiji.Ni aibu sana yaani uwanja upo katikati ya jiji lakini una nyasi kavu na kutimka vumbi. 2.Karume-Mara, huu uwanja hata kuchezea ligi daraja la kwanza haufai ni kama vile huwa wanalima mpunga hapo. Orodhesha vingine.
  6. Kila aliyesema Simba ni kubwa kuliko Yanga aliropoka, Bodi ya Ligi imethibitisha.

    Kama huna takwimu unaweza kujisemea chochote, na kujisemea chochote ni kuropoka. Kila aliyesema Simba ni kubwa kuliko Yanga aliropoka tu kulifurahisha kundi lake na kupunguza sonona yake. Pamoja na Yanga kutofanya vizuri kwa misimu minne mfululizo lakini ukubwa wake haujatetereka, takwimu za...
  7. M

    Watu wa Simba SC na nyie mmekuwa kama Washamba wa Yanga SC kulalamikia Takwimu za Bodi ya Ligi?

    Hivi Yanga SC ikiongoza kwa Takwimu, Kujaza Watu au Kuuza Mijezi Misukule na Mikaragosi yao huku wakiwa hawachukui Vikombe na tunawafunga katika Mashindano muhimu nani mnadhani Kimantiki ndiyo anaonyesha kuwa na Tija hasa? Yaani wana Simba SC leo hii mmesahau kuwa Yanga SC ni Washamba? Hivi...
  8. Yanga kutumia "Visit Tanzania" ligi za ndani

    Uongozi wa Yanga umethibitisha kuwa utaendelea kuvaa nembo yenye vivutio vya utaliiya Visit Kilimanjaro & Zanzibar kwenye jezi zao upande wa mkono wa kushoto katika mechi zao za ndani. . Uongozi umesema kutokana na mechi hizo zinarushwa na Azam TV hivyo upo uwezekano wa kuonekana na watu wa...
  9. Timu ya kwanza kuaga mashindano ya kimataifa kabla ya ligi kuanza

    Naam mnamo tarehe 25 mwezi august mwaka 2019 Simba ilitoka 1-1 na UD songo ikapelekea simba kutolewa kwa goli la ugenini ikapelekea Simba kuanza ligi tarehe 28 august kwa kuichapa ppolisi 3-0 ikiwa haimo kimataifa, nakumbuka mwaka huo hakukuwa na shida ya viporo
  10. Ratiba ya Simba Ligi kuu 2021/2022 (Mechi zote)

    Ratiba mechi za Simba Ligi kuu TPL 2021/2022. Simba Sports Club watoto wa Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Walizaliwa 1936 as Queens, baadaye club ilibadilisha jina na kuitwa Eagles, baadaye Sunderland. Mwaka 1971 rasmi waliitwa Simba. TAZAMA FULL RATIBA KWENYE VIDEO! 👇👇
  11. Ratiba ya Yanga Mechi Ligi Kuu Tanzania bara 2021/2022

    Kwa kubonyeza hapo chini utaona ratiba nzima ya mechi za Yanga kwenye ligi kuu Tanzania bara. Ratiba mechi za Yanga Ligi Kuu TPL 2021/2022, Ifuatayo ni Ratiba ya Yanga msimu huu 2021/2022 ,Mechi zote za Yanga msimu wa 2021/2022,Mechi za Yanga leo TPL Baadaye nitapost Ratiba ya mechi za Simba...
  12. LIVE: BODI YA LIGI inatangaza ratiba, Simba na Yanga December 11

    hapa ni ukumbi wa TFF
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…