Tunatambua umuhimu wa wanafunzi wa darasa la 4 na darasa la 7 kusoma na kujiandaa kwa ajili ya mitihani yao ya kitaifa baadae mwaka huu. Lakini imekuwa ni kawaida kwa shule za binafsi kukiuka utaratibu wa mapumziko(likizo)pindi shule zinapofungwa kwa kulazimisha wanafunzi kupumzika Kwa wiki moja...