linda afya yako

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    Je, jamii inawezaje kuyakabili magonjwa ya afya ya akili? ilinde afya yako ya akili, ni tunu yako

    Afya ya akili ni miongoni mwa mada zinazopuuzwa, zisizozungumzwa vya kutosha, pia zenye wataalamu wabobezi wachache sana kwa Tanzania. Lakini pia ni mada ngumu kuzungumzwa kutokana na kukosa uelewa sahihi kwa sababu jambo hili huchukuliwa juu juu pasipo upembuzi wa kina. Mtaalamu mmoja wa...
  2. D

    SoC03 Misingi ya kuboresha afya

    Siku hizi ulimwengu wa leo umekuwa ukitumia njia za mkato katika tiba za dalili ya ugonjwa wanaoupitia. Bila kujali kumwona Daktari kwa vipimo ili kugundua Magonjwa yanayo wakabili, Mfano Mtu anaweza akaumwa kichwa kisha kwenda duka la dawa na kuchukua dawa za kupunguza Maumivu bila kujali...
Back
Top Bottom