UVCCM Yawatetea wanafunzi waliotishia kuchukua mabwana za wakinamama mtaani, Sasa wasema chanzo cha hayo yote ni Viongozi wa Dini wanaohubiri Siasa.
Hapa katikati kulikuwa na kelele nyingi kwenye mitandao ya kijamii kuhusu maadili na malezi ya vijana. Kuna vijana walifanya utovu wa nidhamu...