Good afternoon brothers and sisters 👋
Based on a true story!
Mimi nafanya kuiwasilisha kwenu, hivyo fuatana nami mpaka mwisho.
Mimi naitwa Alphonse ni kijana niliezaliwa miaka 36 iliyopita yaani 1986 huko mkoani Kilimanjaro katika hospital ya KCMC. Kwetu tupo watatu mimi na dada zangu wawili...