lingo la kuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mohamed Said

    Jukwaa la Kuni Mtoni Kijichi

    LINGO LA KUNI MTONI KIJICHI Inaweze kufika zaidi ya miaka 60 nilikuwa sijaona lingo la kuni. Katika utoto wangu nikikua Dar es Salaam kulikuwa na malingo nengi ya kuni sehemu zikiwekwa kuni nyingi kwa ajili ya kuuzwa. Lingo ninalolikumbuka mimi lilikuwa Gerezani hapa ambapo hivi sasa ni sehemu...
Back
Top Bottom