ling'wenya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. William Mshumbusi

    Nina mashaka Luteni Urio anaenda kuharibu ushahidi dhidi ya Mbowe na wenzake 3. Fact hizi hapa

    1. Wakati akitoa ushahidi wake wote Mara kadhaa wakili aliyemuongoza alisita kuendelea kumuuliza na kuanza kuteta chini kwa chini ikionesha Kuna majibu Alitoa nje ya matarajio yao. 2. Kucheleweshwa ushaidi wake kwa siku moja ama kulikuwa na mashaka juu ya ushaidi wake kutoka kwa mawakili wa...
  2. beth

    Mahakama yatupilia mbali mapingamizi ya utetezi, maelezo ya Mohamed Lingw'enya yapokelewa na Mahakama. Kesi kuu kuendelea Des. 15, 2021

    Usikilizwaji wa Kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu; Halfan Bwire Hassan, Adamu Hassan Kasekwa na Mohammed Ling'wenya inatarajiwa kuendelea leo Desemba 14, 2021 Mahakama inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu pingamizi la Mshitakiwa Mohammed...
  3. B

    Kesi ya Mbowe: Kuelekea hukumu kumhusu Ling'wenya

    Kuelekea hukumu ya shauri dogo linalomhusu Ling'wenya 14 Dec ukimya unaendelea kuvunjwa: 1. Kumbe mama Samia naye yamewahi kumfika ya kubambikiwa kesi na hata kutendewa ndivyo sivyo za wazi mikononi mwa polisi wetu. 2. Mheshimiwa Mbatia yeye hakuwa na Simile: Kesi ya Mbowe: Ushauri wa Mbatia...
  4. B

    Kesi ya Mbowe: Kufanana na Kutofautiana kwa Barua ya Ling'wenya na DR ya Msemwa

    Kesho ni kesho asiye na mwana na akaeleke jiwe. Kesho Mh. Jaji Tiganga atatoa hukumu yake kuihusu barua ya Mohammed Ling'wenya. Kama ilivyokuwa kwa DR na shahidi Jumanne, ilipingwa mahakamani. Hukumu ya Jaji ikaonyesha nini kilitakiwa kifanyike ili iweze kukubalika. Bila ya ajizi WS Chavula...
  5. N

    Kauli ya Jaji Tiganga kwamba huenda Shahidi Ling'wenya alikuwa anapewa majibu ya maswali aliyoulizwa yawaibua Wadau

    Leo Jaji kaongea hayo maneno! Je wanasheria kwa uelewa wenu hayo maneno yanaweza kuja kutumika kukatiwa rufaa au kwa sasa hivi kumkataa Jaji?
Back
Top Bottom