Kuelekea hukumu ya shauri dogo linalomhusu Ling'wenya 14 Dec ukimya unaendelea kuvunjwa:
1. Kumbe mama Samia naye yamewahi kumfika ya kubambikiwa kesi na hata kutendewa ndivyo sivyo za wazi mikononi mwa polisi wetu.
2. Mheshimiwa Mbatia yeye hakuwa na Simile:
Kesi ya Mbowe: Ushauri wa Mbatia...