Kumekuwapo na Links (Viungo) vinavyotumwa katika makundi sogozi na mitandao mingine ya kijamii ikiwataka watu kubofya link hiyo ili wapate zawadi ya Mb ama pesa.
Links hizo mara nyingi zimekuwa si salama zikiwa na lengo la kuwalaghai wananchi na kuchukua taarifa zao binafsi na wakati mwingine...