linux

  1. Davidmmarista

    Window vs Linux

    Je una prefer operating system gani na ni kwanini?
  2. Cybergates

    Backdoor: Watumiaji wa linux distribution sasa tumefikiwa

    Wakuu! Wazee wa kutafuta vichaka vya kujifichia sasa tumefikiwa. Nimekua nikitumia linux kama primary kernel kwenye laptop yangu kazi Moja ya sababu ni usalama, kupinguza attack, virus etc zinazo sumbua kwenye windows os Sasa kuanzia update ya trh 25 - 29 /3, red hat waligundua backdoor...
  3. DR Mambo Jambo

    Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza Cybersecurity,Jinsi ya kujizuia kupata Cyber Attack Pia Ethical Hacking kutumia Termux na Linux enviroment

    Dunia ya sasa imejaa technological advancements nyingi ambazo zimeathiri kila eneo la maisha yetu, kutoka kutuma na kupokea pesa Dirisha la mhasibu hadi kufanya hivyo mtandaoni tena bila kuonana na mtu yoyote... Kutoka kusoma chini ya mti hadi kusoma ukiwa sebuleni kwako au chumbani kwako...
Back
Top Bottom